Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), jana imesema uchaguzi wa
wabunge wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki ni batili kutokana
na kukiuka ibara ya 50 ya mkataba wa kuanzishwa Jumuiya ya Afrika
Mashariki.
Jaji Kiongozi, Jean Bosco-Butasi akiwa na majaji
wengine wa mahakama hiyo, Isaac Lenaola na Jaji Faustine Ntezilyayo,
walitoa uamuzi huo katika hukumu ya kesi iliyofunguliwa
↧