Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemhukumu kifungo cha miaka sita
jela, Melkiad Kabunduguru(28) baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia
fedha kwa njia ya udanganyifu na kukutwa na noti bandia.
Kabunduguru ambaye ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu
cha Dodoma(Udom) atatumikia kifungo hicho baada ya Mahakama kuridhika na
ushahidi uliotolewa dhidi yake.
Katika shtaka la kwanza la
↧