Kajala Masanja amedai kuwa maisha yake hayajabadilika sana kama ambavyo magazeti ya udaku yamekuwa yakiandika.
Muigizaji huyo wa filamu alisema kuwa tetesi kuwa ana fedha nyingi
kiasi cha kuwa na mpango wa kumwajiri Wema Sepetu ni uzushi mtupu.
“Mbona maisha yangu ni ya kawaida sana,” Amesema Kajala.
“Mimi naona nipo vilevile hakuna kubwa sana lililongezeka. Nafanya
shughuli
↧