Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji
Joseph Warioba amesema Rasimu ya Katiba iliyopendekezwa na Kamati ya
Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba imeondoa mambo manne muhimu
yaliyokuwa kiini cha kupata Katiba ya mageuzi.
Akiyataja mambo hayo muhimu ambayo ni maadili ya
viongozi wa umma, madaraka ya wananchi, mgawanyo wa madaraka na
muungano.
“Tutakutana
↧