MCHUNGAJI Peter Rashid
Abubakari wa Kanisa la RGC lililoko Mbezi ya Shamba jijini Dar, amedaiwa
kuoa mke wa pili aitwaye Pamela Didas Asenga akiwa na umri wa miaka 20
tu ‘dogodogo’.
Kwa mujibu wa chanzo, ndoa hiyo ilifungishwa na Askofu Innocent
Lugagi wa Kanisa la White House la Durban, Afrika Kusini, Agosti 29,
mwaka huu.
Mke mwingine wa mtumishi huyo wa Mungu anaitwa
↧