Mbunge
wa Mbinga Kusini, Kapteni John Komba, kwa mara nyingine amemshambulia
aliyekuwa Mweyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph
Warioba, kwa ‘kuwaingilia’ na amemuomba Rais Jakaya Kikwete, amuite na
kumkanya.
Katika mchango wake bungeni jana, Komba alianza kwa kusema, “Ninalo moja
kubwa la kuchangia hapa, juzi nilizungumza habari hapa, jamani eh...,
mtu akishazikwa,
↧