Habari mpya zinasema kuwa Wema Sepetu anamsaka meninah kwa udi na
uvumba sababu ikidaiwa ni Meninah kutoka kimapenzi na Diamond kwa siri
kubwa huku Wema akiwa hana hili wala lile mpaka mapenzi ya wawili hao
yalipoanza kukomaa na kuchanua nje na watu kujua.
Inadaiwa kuwa Meninah tayari pia amejua kuwa
anasakwa na Wema hivyo kuingiwa na hofu, ingawa akizungumza na gazeti
moja la
↧