UMOJA wa Katiba ya Wananchi “Ukawa” wamemtaka Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini, kuzuia mikutano ya Katibu Mkuu wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) Abdulrahaman Kinana, kama alivyozuia mikutano na
maandamano ya vyama vya siasa vinavyoundwa na Ukawa.
Hayo yamezungumzwa na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema), Lissu wakati akizungunmza na waandishi wa habari
leo,
↧