Audio: Hotuba ya Rais Kikwete Kwenye mkutano wa Tabia Nchi- Umoja wa Mataifa
Septemba 23, 2014, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Kikwete, ambaye pia ni kiongozi wa kamati ya viongozi wa nchi na serikali za Afrika kuhusu mabadiliko ya tabianchi, alihutubia...
View ArticleHackers watishia kuvujisha picha za utupu za muigizaji wa Harry Porter Emma...
Staa wa filamu ya ‘Harry Potter’, Emma Watson alitoa hotuba kwenye Umoja wa Mataifa kuwataka wanaume kuungana katika harakati za usawa wa kijinsia. Hackers wametishia kuvujisha picha za utupu za...
View ArticlePicha: Amber Rose ashare picha yake ya utupu Instagram
Wakati mastaa wengine wanahaha baada ya picha zao za utupu kuvujishwa mtandaoni bila ridhaa zao, stripper wa zamani na mke wa rapper Wiz Khalifa, Amber Rose ameamua kutowasubiri hackers wafanye mambo,...
View ArticleSandra: Sijawahi kutoa Rushwa ya Ngono kwa Director
MSANII wa siku nyingi katika tansia ya filamu Bongo, Salama Salmin ‘Sandra’ amefunguka kuwa tangu ameanza kujihusisha na mambo ya sanaa hajawahi kuwa na bwana ndani ya klabu ya Bongo Movies na wala...
View Article"Si lazima kujua Kingereza hata Messi hajui" - Ray
Mkurugenzi wa Kampuni ya filamu Rj Company,Vicenti Kigosi amesema si lazima kujua Kingereza maana hata Messi hajui. Ray amesema hayo alipokuwa akichat Live na mashabiki zake kupitia ukurasa wa...
View ArticleWafuasi watano wa CHADEMA Mbaroni
Wafuasi watano wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kufanya mkusanyiko usio halali. Wafuasi hao akiwemo Mratibu wa Chadema Kanda ya Magharibi,...
View ArticleOrodha ya Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Vyuo Vikuu Mbalimbali 2014/ 2015
Bofya jina la chuo kupakua faili lenye orodha ya majina ya waliochaguliwa BUGANDO BScN_2014.pdf (82.4 KB) BUGANDO MD.pdf (106.2 KB) BUGANDO MEDICAL LABORATORY SCIENCES.pdf (79.7 KB) BUGANDO...
View ArticleMchongo mpya alioupata Diamond Platnumz,huu unahusu application ya simu.
Ingawa hajaweka wazi namna dili hii itakavyokuwa lakini kupitia ukurasa wake wa Instagram,Diamond Platnumz amepost picha ambayo imebeba maandishi yasemayo "Ningependa kukutaarifu shabiki wangu pendwa...
View ArticleNakala ya Rasimu ya Katiba Mpya iliyopendekezwa: Ibara 28 zimefutwa, 42...
Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba jana ilikabidhi bungeni Rasimu ya Katiba inayopendekezwa ikiwa na ibara 289 kulinganisha na 271 za Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyokuwa chini ya Jaji...
View ArticleTcu yakifungia chuo cha IMTU kudahiri wanafunzi wapya
Tume ya vyuo vikuu nchini Tanzania imesitisha udahili wa wanafunzi wapya katika chuo kikuu cha IMTU kwa mwaka wa masomo 2014/15 na kukipa muda wa miezi 3 chuo hiko kurekebisha kasoro zinazojitokeza...
View ArticleMahakama yatoa hukumu kesi ya Kubenea kuhusu Bunge maalumu la Katiba
Mahakama Kuu ya Tanzania iliyokaa chini ya Majaji Augustine Mwarija, Aloysius Mujulizi na Dr Fauz Twaib imetoa uamuzi wake leo kufuatia maombi ya Saed Kubenea kama ifuatavyo; 1.Kuna mgongano mkubwa...
View ArticleBaraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) latangaza maandamano kwenda Ikulu...
Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) limetangaza maandamano kwenda Ikulu kumuomba Rais Jakaya Kikwete asikubali kutia saini Rasimu ya Katiba inayopendekezwa iwapo itapitishwa na Bunge....
View ArticleWajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba watishiwa maisha.....Vipeperushi...
Siku tatu kabla ya Bunge la Katiba kuanza kupigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, watu wasiojulikana wameanza kusambaza vitisho vya kuwatia hofu wajumbe wa Bunge hilo. Watu hao wamesambaza...
View ArticleJe, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa...
Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa mbalimbali za asili. Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa tunayo dawa nzuri ya asili inatibu na kuponyesha...
View ArticleVanessa Mdee, Diamond na Peter Msechu watajwa kuwania 'All Africa Music...
Wasanii wa Tanzania, Vanessa Mdee, Diamond Platinumz na Peter Msechu wametajwa kuwania tuzo za AFRIMA za nchini Nigeria. Come Over imemuwezesha Vanessa kutajwa kuwania tuzo katika vipengele viwili...
View ArticleWakazi wa Songea kupata burudani ya Serengeti Fiesta LEO kwa mara ya kwanza
Baada ya kushusha burudani ya aina yake katika mikoa ya Iringa na Morogoro wiki iliyopita, Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 linaendelea na sasa limejipanga kwa ajili ya kuwasha moto kwa wakazi wa mji...
View ArticleKatibu Mkuu wa CCM ndg.Kinana Ziarani Mkoani Tanga
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kulima shamba la mpunga kwenye mradi wa kilimo kwanza wa Skimu ya Mahenge. Mifereji ya maji kwenye shamba la skimu ya Mahenge. Katibu wa NEC...
View ArticleVideo: Pastor aliyewalisha majani waumini wake, sasa awanywesha petroli kwa...
Mchungaji wa Afrika Kusini aliyewahi kuwalisha waumini wake majani, sasa anawanywesha petrol. Pastor Lesego Daniel wa Rabboni Centre Ministries aliwahi kuandikwa sana na vyombo vya habari duniani...
View ArticleChina: Kujiunga chuo, kujifunza udereva, ukitaka kuoa au kuolewa sharti...
Ajali za barabarani duniani hutokea kila uchao, na wahitaji wa damu wanazidi kuongezeka huku idadi ya wachangia damu nayo ikizidi kushuka siku hadi siku na kuleta hatari kwa maisha ya wahitaji....
View ArticleUKAWA Yaitaka Polisi Kuzuia Mikutano ya Kinana Nchini
UMOJA wa Katiba ya Wananchi “Ukawa” wamemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, kuzuia mikutano ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahaman Kinana, kama alivyozuia mikutano na maandamano...
View Article