Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Matukio katika Picha Bunge Maalumu la Katiba

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba. Mhe. Samuel Sitta akiongoza bunge hilo leo 22 Septemba, 2014 mjini Dodoma. Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Amon Mpanju akisoma Azimio la kupitisha...

View Article


Tamasha la Serengeti Fiesta Laacha Gumzo Mkoani Morogoro

Baba Levo na Peter Msechu wakipagawisha jukwaani  kwenye tamasha la Fiesta ndani ya uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.  Mmoja wa mashabiki aliyekuwa kwenye Tamasha la Fiesta akishangilia huku akiwa...

View Article


Tunda Man akanusha kuwahi kuwa na uhusiano na Wema wala Nyota Ndogo

Msanii wa muziki, Khalid Ramadhani maarufu kama ‘Tunda Man’, amedai kuwa hajawahi kuonja penzi la Wema Sepetu na wala hana mpango huo. Akizungumza na Global TV, Tunda amesema haendani na Wema....

View Article

Kesi ya Emmanuel Mbasha yapigwa Kalenda tena mpaka October 17

Kesi ya mwimbaji wa nyimbo za Injili Emmanuel Mbasha imepigwa kalenda kwa mara nyingine tena kwa sababu Hakimu anayeendesha kesi hiyo alipata shughuli nyingine nje ya ofisi.    Mbasha alipanda...

View Article

Askofu wa kanisa Katoliki aeleza njia mpya za kuzuia Katiba Mpya.....Asema...

MAKAMU wa Rais Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi, amesema maoni yaliyotolewa na Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF) juu ya Bunge Maalumu la Katiba, hayajatekelezwa na hivyo...

View Article


CCM Mbeya Yavuna Vijana 79 wa CHADEMA

ZAIDI ya vijana 79 waliokuwa wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kata ya Nzovwe, mkoani Mbeya, wamekihama chama hicho na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM).   Mbali ya kupewa kadi...

View Article

Wasira: Urais si Mama Mkwe wangu.....Sitaona AIBU Kutangaza NIA wakati ukifika

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Steven Wasira amesema hana sababu ya kuona haya kutangaza kuutaka urais kwa kuwa urais si ukwe ila anasubiri wakati mwafaka.    Wasira alitoa kauli...

View Article

CHADEMA: Maandamano Simiyu ni Lazima

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mkoani Simiyu, kimeendelea na msimamo wa kufanya maandamano ambayo yamepangwa kufanyika leo wakipinga kuendelea kwa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba mjini...

View Article


Naombeni Mnielewe : Sijawahi Kutoka Kimapenzi Na Ray- Johari

Msanii mkongwe wa filamu nchini, Johari Blandina Chagula, ambaye ni ‘business partner’ wa msanii mwenzake, Vicent Kigosi aka Ray, amefunguka na kuzungumzia mahusiano yake na Ray pamoja na mipango yake...

View Article


Wafuasi wa CCM na CUF watwangana jijini Dar

Wafuasi wa CCM na CUF juzi walitwangana makonde wakigombea Uwanja wa Buguruni Chama ili kufanya mkutano wa hadhara.    Mvutano huo ulisababisha Polisi kuingilia kati na kuwatawanya wafuasi hao kisha...

View Article

Video: Marekani yaanza mashambulizi ya anga Syria kuilenga ISI

Majeshi ya Marekani yameanza rasmi mashambulizi ya anga nchini Syria yakilenga kundi la kigaidi la ISIS (Islamic State of Iraq and Syria).   Makao Makuu ya Ulinzi ya Marekani yameeleza kuwa wanafanya...

View Article

Utata watawala taarifa za kuuawa kiongozi wa Boko Haram

Taarifa zilizosambazwa na baadhi ya vyombo vya habari nchini Nigeria zinadai kuwa kiongozi wa kundi la kigaidi la Boko Haram, Abubakar Shekau ameuwa na majeshi ya Nigeria.   Tetesi hizo zilianza...

View Article

Ajabu: Anamkodisha mpenzi wake kwa yeyote apate pesa ya kununua iPhone 6

Mwanafunzi wa Chuo kikuu kimoja cha China ambaye jina lake halikutambulika kwa haraka ameamua kufanya ‘uchizi’ ili mradi tu aipate pesa ya kununua aina mpya ya iPhone iliyoingia sokoni, iPhone6....

View Article


Bunge lapitisha upigaji kura kwa fax na email

Bunge la Katiba limeingia katika historia baada ya kupitisha kanuni zinazoruhusu wajumbe wake watakaokuwa nje ya nchi kupiga kura kwa njia ya nukushi (fax) na baruapepe (email).    Uamuzi huo...

View Article

Pingamizi la Mwanasheria mkuu wa serikali dhidi ya Kubenea Latupwa

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, jana imetupilia mbali pingamizi la awali lililowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) dhidi ya kesi ya kikatiba inayohoji uhalali wa Bunge Maalumu la...

View Article


Wachungaji Watiwa Mbaroni kwa Kuwalawiti Watoto Kanisani

Watoto sita, wakiwemo wawili wa kiume wenye umri wa miaka 8 hadi 14 wameharibiwa vibaya sehemu zao za siri baada ya kubakwa kanisani na watu wanaodaiwa ni wachungaji. Wakiwa katika Hospitali ya Mkoa...

View Article

Mke Ambonda Hawara Gesti.....Alichukua line ya mumewe na kuiweka kwenye simu...

Mama mmoja almaarufu kwa jina la Mama la Mama anadaiwa kumbonda hawara wa mumewe baada ya kumwekea mtego wa fumanizi kwenye nyumba ya kulala wageni (gesti). Sekeseke hilo kubwa na la aina yake...

View Article


T.I ndiye msanii wa kimataifa atakayetumbuiza kwenye Fiesta ya Dar

Hatimaye msanii wa kimataifa anayetarajiwa kutumbuiza kwenye Fiesta ya Dar mwezi ujao ametajwa, ni rapper Clifford Joseph Harris, Jr aka T.I wa Marekani.   T.I atashare jukwaa na wasanii wa Bongo...

View Article

Madee atoka nje kwa dhamana baada ya kuhusishwa na tukio la utekaji

Muimbaji wa Tip Top Connection, Madee hivi karibuni alijikuta katika wakati mgumu baada ya kuwekwa ndani katika kituo cha polisi cha Kigamboni kutokana na madai ya kuhusishwa na tukio la utekaji....

View Article

Justin Bieber apanga kuishi nyumba moja na Selena Gomez

Justin Bieber anadaiwa kumuomba mpenzi wake Selena Gomez waishi pamoja na jibu alilopata ni ‘Ndio! Chanzo kimoja kimeuambia mtandao wa HollywoodLife.com: “Selena na Justin wapo pamoja kwa asilimia mia...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>