Mama mmoja almaarufu kwa jina la Mama la Mama anadaiwa kumbonda
hawara wa mumewe baada ya kumwekea mtego wa fumanizi kwenye nyumba ya
kulala wageni (gesti).
Sekeseke hilo kubwa na la aina yake lililoshuhudiwa na
wanahabari wetu lilijiri wikiendi iliyopita kwenye Gesti ya White Paris
iliyopo eneo la Kimara-Kona jijini Dar na kusababisha umati (inzi)
kujazana na kufunga mtaa.
↧