Hatimaye msanii wa kimataifa anayetarajiwa kutumbuiza kwenye Fiesta
ya Dar mwezi ujao ametajwa, ni rapper Clifford Joseph Harris, Jr aka T.I
wa Marekani.
T.I atashare jukwaa na wasanii wa Bongo katika show ya
mwisho ya msimu wa Serengeti Fiesta 2014, itakayofanyika kwenye viwanja
vya Leaders October 18.
T.I kwa sasa anafanya vizuri na single yake mpya ‘No Mediocre’
↧