Muimbaji wa Tip Top Connection, Madee hivi karibuni alijikuta katika
wakati mgumu baada ya kuwekwa ndani katika kituo cha polisi cha
Kigamboni kutokana na madai ya kuhusishwa na tukio la utekaji.
Kabla ya kuongea na meneja wa kundi hilo, Babu Tale, mtangazaji wa
Clouds FM, Soudy Brown aliripoti kupitia ‘You Heard’ ya XXL kuwa
Jumamosi iliyopita Madee aliporwa simu yake na watu wawili
↧