Justin Bieber anadaiwa kumuomba mpenzi wake Selena Gomez waishi pamoja na jibu alilopata ni ‘Ndio!
Chanzo kimoja kimeuambia mtandao wa HollywoodLife.com: “Selena na
Justin wapo pamoja kwa asilimia mia sasa, alimuomba ahamie kwake na
Selena alifurahi kupita kiasi.”
“She’s still being cautious, she’s not going to give up her place,
that way if anything goes wrong or if she decides
↧