Septemba 23, 2014, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya
Kikwete, ambaye pia ni kiongozi wa kamati ya viongozi wa nchi na
serikali za Afrika kuhusu mabadiliko ya tabianchi, alihutubia kikao
kilichoandaliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon kujadili changamoto za mabadiliko ya tabianchi duniani.
Hii ni hotuba yake (kwa hisani ya Umoja wa Mataifa).
↧