Staa wa filamu ya ‘Harry Potter’, Emma Watson alitoa hotuba kwenye
Umoja wa Mataifa kuwataka wanaume kuungana katika harakati za usawa wa
kijinsia. Hackers wametishia kuvujisha picha za utupu za mrembo huyo
ambaye ameamua kujitolea kutetea haki za wanawake.
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari, mtandao wa 4chan ambao
umevujisha picha za mastaa kibao wa Marekani siku chache
↧