MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, jana imetupilia
mbali pingamizi la awali lililowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa
Serikali (AG) dhidi ya kesi ya kikatiba inayohoji uhalali wa Bunge
Maalumu la Katiba iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Said Kubenea.
Aidha, mahakama hiyo hiyo ilitupilia mbali pingamzi kama hilo
lililowasilishwa na AG dhidi ya kesi ya kikatiba ya Chama cha
↧