Bunge la Katiba limeingia katika historia baada ya kupitisha
kanuni zinazoruhusu wajumbe wake watakaokuwa nje ya nchi kupiga kura kwa
njia ya nukushi (fax) na baruapepe (email).
Uamuzi huo ulifikiwa bungeni Mjini Dodoma, baada
ya wajumbe wa Bunge hilo kupitisha azimio la kuzifanyia marekebisho
kanuni ya 30, 36 na 38 za Bunge hilo za mwaka 2014.
Hata hivyo, wajumbe watatu kati ya
↧