Mwanafunzi wa Chuo kikuu kimoja cha China ambaye jina lake
halikutambulika kwa haraka ameamua kufanya ‘uchizi’ ili mradi tu aipate
pesa ya kununua aina mpya ya iPhone iliyoingia sokoni, iPhone6.
Kijana huyo wa alionekana akiwa nje ya chuo kikuu cha Songijiang
akiwa na bango kubwa lililoandikwa kwa kichina na kutafsiriwa
‘Girlfriend Sharing’.
Katika tangazo hilo kijana huyo
↧