Taarifa zilizosambazwa na baadhi ya vyombo vya habari nchini
Nigeria zinadai kuwa kiongozi wa kundi la kigaidi la Boko Haram,
Abubakar Shekau ameuwa na majeshi ya Nigeria.
Tetesi hizo zilianza kusambaa Alhamisi iliyopita baada ya jeshi la
Nigeria kutoa taarifa kupitia Twitter kuwa wamemjeruhi vibaya kiongozi
wa ngazi za juu wa Boko Haram katika eneo la Konduga, Borno.
Wikendi
↧