Majeshi ya Marekani yameanza rasmi mashambulizi ya anga nchini Syria
yakilenga kundi la kigaidi la ISIS (Islamic State of Iraq and Syria).
Makao Makuu ya Ulinzi ya Marekani yameeleza kuwa wanafanya
mashambulizi ya mchanganyiko kwa kutumia mabomu, wapiganaji wa ardhini
pamoja na majeshi ya Anga kutoka nchi za Mashariki ya Kati zinazowaunga
mkono.
Lakini habari za mashambulizi
↧