Wafuasi wa CCM na CUF juzi walitwangana makonde wakigombea Uwanja wa Buguruni Chama ili kufanya mkutano wa hadhara.
Mvutano huo ulisababisha Polisi kuingilia kati na
kuwatawanya wafuasi hao kisha kuwaruhusu CUF wafanye mkutano wao kwa
kuwa ndiyo waliokuwa na kibali halali.
Kamanda wa Mkoa wa Ilala, Mary Nzuki alisema
vurugu hizo zilidhibitiwa na
↧