Msanii mkongwe wa filamu nchini, Johari Blandina Chagula, ambaye ni ‘business partner’ wa msanii mwenzake, Vicent Kigosi aka Ray, amefunguka na kuzungumzia mahusiano yake na Ray pamoja na mipango yake ya kuolewa.
Akizungumza na Bongo5 , Johari amesema anashangazwa kuwaona watu wakivumisha kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Ray.
“Mimi na Ray cha kwanza ni mtu na swahiba wake, cha pili
↧