CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mkoani Simiyu, kimeendelea na msimamo wa kufanya maandamano ambayo yamepangwa kufanyika leo wakipinga kuendelea kwa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mwenyekiti wa chama hicho mkoani humo, Mshuda Wilson, alisema maandamano hayo yatakuwa ya amani akilitaka Jeshi la Polisi kutotumia nguvu
↧