Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na
Uratibu), Steven Wasira amesema hana sababu ya kuona haya kutangaza
kuutaka urais kwa kuwa urais si ukwe ila anasubiri wakati mwafaka.
Wasira alitoa kauli hiyo hivi karibuni alipokuwa akizungumza katika mahojiano maalumu na gazeti la Mwananchi mjini Dodoma.
“Watakaposema ruksa, nitasema na wala kugombea
urais si suala la kuonea haya. Ni
↧