ZAIDI ya vijana 79 waliokuwa wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kata ya Nzovwe, mkoani Mbeya, wamekihama chama hicho na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mbali ya kupewa kadi za CCM, vijana hao walidai kuchoshwa na sera za CHADEMA zinazohamasisha maandamano badala ya kuwajengea uwezo kiuchumi ili waweze kujikomboa kimaisha.
Vijana walipokelewa na Mjumbe wa
↧