MAKAMU wa Rais Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin
Niwemugizi, amesema maoni yaliyotolewa na Jukwaa la Wakristo Tanzania
(TCF) juu ya Bunge Maalumu la Katiba, hayajatekelezwa na hivyo watapita
kwa Watanzania na waumini wao kuwaeleza nini cha kufanya.
Jukwaa hilo lilikutana Agosti 27 hadi 28, mwaka huu na kujadili
hatima ya Bunge hilo na kutoa mapendekezo sita, moja
↧