Kesi ya mwimbaji wa nyimbo za Injili Emmanuel Mbasha
imepigwa kalenda kwa mara nyingine tena kwa sababu Hakimu anayeendesha
kesi hiyo alipata shughuli nyingine nje ya ofisi.
Mbasha alipanda kizimbani katika mahakama ya Wilaya ya
Ilala kwa ajili ya kusikilizwa kwa kesi yake hiyo ambapo mwendesha
mashtaka Kiyoja Catherine aliahirisha kesi hiyo kutokana na Hakimu
Williberforce Luwhego
↧