Msanii wa muziki, Khalid Ramadhani maarufu kama ‘Tunda Man’, amedai
kuwa hajawahi kuonja penzi la Wema Sepetu na wala hana mpango huo.
Akizungumza na Global TV, Tunda amesema haendani na Wema.
“Hamna kitu kama hicho, mimi kama kapteni wa Bongo FlAVA sijawahi
kulionja hilo penzi. Ni mshikaji wangu tu, kweli kabisa ni mshikaji
wangu tu ambaye ‘mambo poa’, ‘post hii picha’ napost.
↧