Baba Levo na Peter Msechu wakipagawisha jukwaani kwenye tamasha la Fiesta ndani ya uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Mmoja wa mashabiki aliyekuwa kwenye Tamasha la Fiesta akishangilia huku akiwa amebebwa na mwenzake.
Umati uliyokuwa umefurika kwenye Tamasha la Fiesta 2014, ukishangilia
moja ya burudani zilizokuwa zikitolewa kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini
Morogoro.
↧