Diamond Ataka Wema Amzalie Mtoto .....Wema Akataa Kuogopa Kupoteza Mvuto Na...
Diamond Platnumz kwa muda sasa amekuwa akimwambia mpenzi wake Wema Sepetu abebe mimba kwasababu yeye anataka mtoto lakini Wema amekuwa mgumu kukubali kudungwa mimba na Diamond kwasasa kwa madai kuwa...
View ArticleNina Watoto Watatu Na Kila Mmoja Ana Mama Yake: Ali Kiba
Mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva nchini Ali Kiba amesema kuwa ana watoto watatu na kila mmoja ana mama yake. Akizungumza na jarida moja la burudani kiba aliyetoa nyimbo mbili mpya hivi karibuni...
View ArticlePicha: Petit Man Na Esma Dada Yake Diamond Platnumz Wafunga Ndoa.
Esma Platnumz ambaye ni dada wa Diamond Platnumz amefunga ndoa jana na Petit Man ambaye ni mfanyakazi wa kampuni ya Wema Sepetu ya Endless Fame Productions. Petit Man pia ni meneja wa mwanamuziki...
View ArticleMsanii wa Bongo Fleva ( Mez B) Awatia Aibu Mabinti baada ya kuwalazimisha...
Msanii wa kitambo wa Bongo Fleva aliyewahi kutamba na Kundi la Chamber Squad na ngoma yake ya taifa ya Kama Vipi, Moses Bushagama ‘Mez B’ anadaiwa kuwaaibisha ma-miss kwa kuwalazimisha kupiga nao...
View ArticleVurugu za CHADEMA: Watu 8 wakamatwa na jeshi la Polisi....Watatu wafikishwa...
SIKU moja baada ya Jeshi la Polisi kudhibiti maandamano yaliyoandaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wafuasi watatu wa chama hicho wamefikishwa mahakamani jijini Dar es Salaam na...
View ArticleCHADEMA Wasisitiza kuwa Maandamano Bila Kikomo
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesisitiza kuwapo kwa maandamano yasiyo na kikomo yatakayoanza leo katika baadhi ya mikoa licha ya jeshi la polisi kuzuia. Chama hicho kimesema...
View ArticleShule zafungwa jijini Dar kuhofia watoto kutekwa....Magari aina ya Noah...
Uvumi wa kuwapo kwa watu wanaoteka nyara watoto kwa kutumia magari aina ya Noah, umeleta mtafaruku katika shule saba za msingi Manispaa ya Temeke, na kusababisha wazazi kuvamia shule hizo na kufungwa...
View ArticleRais Kikwete Ahudhuria Hafla ya Kumpongeza kwa Uongozi Mzuri
Rais Jakaya Kikwete akiwa na mtoto wa miaka minane aliejitambulisha kwa jina la Brian ambaye alitoa burudani ya kupiga kinanda wakati wa wimbo wa Taifa na nyimbo nyinginezo katika hafla ya USIKU WA...
View ArticleTangazo la Nafasi za Ajira toka Jeshi La Magereza Tanzania
Jeshi la Magereza Tanzania Bara linatangaza nafasi za Mafunzo ya Awali ya Askari Magereza yatakayoendeshwa Chuo cha Magereza Kiwira Tukuyu Mbeya. Waombaji wa nafasi hizo wanatakiwa kuwa na sifa...
View ArticleDiamond azua vurugu nyingine Uingereza
Mwanamuziki Diamond Platnumz kwa mara nyingine tena usiku wa kuamkia jana alisababisha vurugu kubwa nchini Uingereza baada ya kushindwa kutumbuiza katika ukumbi wa LaFace Club uliopo jijini London....
View ArticleOngeza mvuto kwa shanga za Kiafrika
Na Kelvin Matandiko-Mwananchi Kwa miaka mingi, jamii za Kiafrika zilikuwa na mazoea yaliyojengewa msingi katika mila na utamaduni kupitia ulimbwende wa kunogesha vazi kwa ladha ya shanga. Waafrika...
View ArticleSerikali Haitataifisha Shule Wala Hospitali --Waziri Mkuu
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali haitataifisha shule, zahanati, hospitali wala Vyuo Vikuu vinavyoendeshwa na taasisi za kidini na amewahimiza wajenge zaidi na zaidi ili kuisaidia jamii kubwa...
View ArticleKukua au kujaa matiti kwa mwanaume
Kwa kawaida mwanaume ameumbwa kuwa na matiti madogo, ugonjwa wa wanaume kuwa na matiti makubwa kama wanawake huleta usumbufu hasa wa kisaikologia kwa mwanume husika. Kuna hatua au makundi matatu...
View ArticleMaandamano ya Chadema yazimwa ....Yalipangwa kufanyika Arusha, Iringa na...
Jiji la Arusha jana lilikumbwa na taharuki kufuatia askari polisi kuzingira barabara na maeneo kadhaa ya jiji hilo baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutangaza kuendelea na...
View ArticleHasara wanazopata watoto kwa kudekezwa
Ni siku nyingine wajukuu zangu yenye baraka na neema, kwasababu tumekutana tena na kujadili mambo mazuri, lengo likiwa kufahamishana na kuelekezana mambo mema. Kama utakuwa mwerevu kama yule rafiki...
View ArticleBig Brother Africa 2014: Mshiriki wa pili wa Tanzania atajwa
M-Net wameendelea na utaratibu wa kutangaza washiriki wa shindano hilo kutoka nchi mbalimbali Africa, na katika majina matatu yaliyotajwa yamemjumuisha Mtanzania wa pili atakayewakilisha katika...
View ArticlePicha za utupu za Rihanna, Gabrielle Union na Kim Kardashian zavuja
Rihanna, Gabrielle Union na Kim Kardashian wameingia rasmi kwenye msululu wa mastaa wa Marekani ambao picha zao za utupu zimevuja mtandaoni. Mapema Jumapili ya jana picha mbili za utupu za Rihanna...
View ArticleMariah Carey adaiwa kuzama kimahaba kwa muongozaji wa filamu
Mariah Carey anadaiwa kuanzisha uhusiano wa kimapenzi na muongozaji wa filamu, Brett Ratner baada ya ndoa yake na Nick Cannon kuvunjika. Muimbaji huyo, 44 anadaiwa kuwa karibu na muongozaji huyo, 45,...
View ArticleWaliopoteza maisha kwenye kanisa lililoanguka la TB Joshua wafikia 115
Idadi ya watu waliopoteza maisha kufuatia kuanguka kwa jengo lililopo kwenye kanisa la TB Joshua jijini Lagos, Nigeria, imefikia watu 115, kwa mujibu wa serikali ya Afrika Kusini. Waziri Jeff Radebe...
View ArticleMtu mmoja Auawa na Wananchi baada ya Kumuua Mkewe Wilayani Mpwapwa Mkoani Dodoma
Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma. Watu wawili wameuawa Wilayani Mpwapwa Mkoani Dodoma katika matukio mawili tofauti. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna msaidizi mwandamizi...
View Article