Askari Watatu Wajeruhiwa kwa Bomu Songea, Ruvuma
Askari Polisi wakiwa eneo la tukio kuimarisha ulinzi Eneo la tukio likiwa limezungushiwa alama na Jeshi la Polisi. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwangu akizungumza jambo katika hospitali ya mkoa wa...
View ArticleMwenyekiti Wa CHADEMA Atinga Makao makuu ya Jeshi la Polisi Kuhojiwa huku...
Baadhi ya wapenzi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakishangilia baada ya gari lililokuwa limembeba Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, alipowasili leo Makao Makuu wa...
View ArticleVurugu makao makuu ya Polisi: Waandishi Wa Habari wapigwa na kufukuzwa kwa...
Vurugu zimezuka leo asubuhi katika makao makuu ya jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, muda mfupi baada ya Mwenyekiti taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo – Chadema, Freeman...
View ArticleDodoma nako Hali Haikuwa nzuri.....Baadhi ya barabara zilifungwa kwa Muda,...
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishina Msaidizi wa Polisi EMMANUEL G. LUKULA (ACP) akiongea na waandishi wa habari. ******* Polisi Mkoani Dodoma leo asubuhi ililazimika kuzifunga...
View ArticlePicha: Muigizaji mkubwa aliyedai amenyanyaswa na polisi, alikutwa akifanya...
Ukweli haufichiki daima labda kuuchelewesha tu! Ndicho kinachomkuta muigizaji wa kike wa filamu ya ‘Django Unchained’ wa Marekani, Daniele Watts aliyewapa wakati mgumu polisi wa Los Angeles kwa...
View ArticleKinana Awaponda Wapinzani kwa tabia yao ya kuandaa Maandamano badala ya...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (katikati) akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Maneromango jana wakati wa ziara yake wilayani Kisarawe, Pwani ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua...
View ArticleJeshi la Polisi nchini Lathibitisha kuwa Mlipuko Uliowajeruhi Askari Polisi...
JESHI la polisi nchini limethibitisha kuwa kitu kilichokuwa kinadaiwa kuwa ni bomu lililorushwa mjini Songea mkoani Ruvum Septemba 16 mwaka huu majira ya saa 1.25 usiku katika eneo la Misufini na...
View ArticleNicki Minaj aalikwa kuzungumza na wanafunzi wa shule nyingine baada ya...
Nicki Minaj amealikwa kwenda kuzungumza na wanafunzi wa shule ya jijini New York baada ya ombi lake la kutembelea shule aliyosomea kukataliwa wiki iliyopita. Hivi karibuni rapper huyo alizungumza na...
View ArticleHabari Kamili kuhusu Vurugu za CHADEMA Zilizosababisha Barabara na Vituo vya...
Mtikisiko mkubwa wa kisiasa jana umelikumba taifa, baada ya wafuasi wa Chadema kupambana na polisi katika maeneo mbalimbali. Hali hiyo, ilianza kuonekana mapema jijini Dar es Salaam, wakati...
View ArticleJe, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa...
Neema Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa mbalimbali za asili. Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa tunayo dawa nzuri ya asili inatibu na kuponyesha...
View ArticleWatoto Wamuua Baba yao kwa Fimbo wakimtuhumu kuuza Chakula cha Familia
JESHI la Polisi mkoani Kagera linawashikilia watoto watatu, kwa tuhuma za kumpiga fimbo kichwani baba yao mzazi na kumsababishia kifo. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Kagera, Gilles Muroto,...
View ArticleMwanaume Amuua Mkewe kwa Nyundo......Achukua Watoto na kutokomea kusikojulikana
Mwanaume mmoja mkoani Katavi anasakwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mkewe kwa kumpiga nyundo kichwani kisha kuufungia mwili wa marehemu ndani ya nyumba. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Dhahiri...
View ArticleUJASILIAMALI: Kwa nini Wengi hawafanikiwi kwa Biashara ya Duka??
Wengi wamekuwa na ndoto za kufungua maduka wakiamini yanaweza kuwa daraja la kuelekea kwenye mafanikio. Siyo mbaya kwani nawajua wengi tu ambao wamefanikiwa kwa kuanzisha vioski, baadaye maduka na...
View ArticleNape Ageuka Mbogo: Amtaka Mbowe Amtangulize Mkewe na Watoto wake wakati wa...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Bw. Nape Nnauye, amewataka wananchi wasikubali kuandamana kwa shinikizo la viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ili kushinikiza Bunge Maalumu la...
View ArticleMbakaji Ahukumiwa Kuchapwa Viboko 20 Nkasi mkoani Rukwa
MKAZI wa Kijiji cha Karundi, Wilaya ya Nkasi, mkoani Rukwa, Moses Kang'ombe (17), amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 20 baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji na kusababisha mimba. Hukumu hiyo...
View ArticleSerikali za Tanzania na Malawi Zasema hazina tofauti juu ya mpaka wa ziwa Nyasa
Na Mbeya Yetu Blog , Lilongwe Malawi. Waziri wa Habari,Utalii na Utamaduni nchini Malawi Mheshimiwa Kondwani Nankhumwa alisema kuwa Serikali ya Malawi haina mgogoro na Serikali ya Tanzania kuhusiana...
View ArticleUpdate: Polisi Wavamia Ofisi za CHADEMA Mkoani Morogoro
Habari zilizotufikia hivi punde zinaarifu kuwa Polisi wamevamia ofisi za CHADEMA wilaya ya Morogoro na kuwakamata Viongozi waandamizi Watano wa chama hicho waliokuwa...
View ArticleKitabu cha "Mwanamke Msagaji Ameniambukiza Ukimwi" sasa kinapatikana Bure...
Habari za leo ndugu wapenzi wasomaji. Tunapenda kuwafahamisha kuwa, tumepewa idhini na mwandishi pamoja na wachapishaji wa kitabu cha “Mwanamke Msagaji Ameniambukiza Ukimwi“. Habari...
View ArticleVanessa Mdee: Jux ni rafiki yangu tu, hakuna zaidi
Vanessa Mdee aka Vee Money amekanusha tetesi zilizopo kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na muimbaji wa ‘Nitasubiri’ Jux. Siku za hivi karibuni, Vanessa na Jux wamekuwa karibu kiasi cha watu kuhisi kuwa...
View ArticleMfahamu zaidi Idris Sultan, mwakilishi wa Tanzania kwenye BBA Hotshots
Mpiga picha na graphic designer anayefanya kazi kwenye kampuni ya I-View Studios, ni mwakilishi wa kwanza kutoka Tanzania aliyetajwa tayari kutuwakilisha mwaka huu kwenye shindano la Big Brother...
View Article