JESHI la Polisi mkoani Kagera linawashikilia watoto watatu, kwa tuhuma za kumpiga fimbo kichwani baba yao mzazi na kumsababishia kifo.
Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Kagera, Gilles Muroto, alisema tukio hilo ni la mwezi Septemba 15, mwaka huu katika Kijiji cha Mkunyu Kata ya Kikukuru Tarafa ya Mabira wilayani Kyerwa.
Alisema siku ya tukio, watuhumiwa hao, ambao hakuwataja
↧