Mwanaume mmoja mkoani Katavi anasakwa na
polisi kwa tuhuma za kumuua mkewe kwa kumpiga nyundo kichwani kisha
kuufungia mwili wa marehemu ndani ya nyumba.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Dhahiri
Kidavashari alisema tukio hilo lilitokea kijijini hapo Septemba 14,
mwaka huu saa 1.30 asubuhi ambako mwanamke aitwaye Bernadeta Bwetel (38)
mkazi wa Kijiji cha Uruwila Wilaya ya Mlele
↧