Wengi wamekuwa na ndoto za kufungua maduka wakiamini yanaweza kuwa
daraja la kuelekea kwenye mafanikio. Siyo mbaya kwani nawajua wengi tu
ambao wamefanikiwa kwa kuanzisha vioski, baadaye maduka na sasa ni
wafanyabiashara wakubwa.
Lakini wakati baadhi wakifanikiwa kwa njia hiyo, wapo ambao wamekuwa
wakifungua maduka na baada ya muda kuyafunga huku wakiwa wameambulia
hasara.
↧