Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Bw. Nape Nnauye, amewataka wananchi wasikubali kuandamana kwa shinikizo la viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ili kushinikiza Bunge Maalumu la Katiba lisitishe vikao vyake kabla ya Oktoba 4,2014.
Bw. Nnauye aliyasema hayo jana kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Wilaya ya Kisarawe, mkoani Pwani na kusisitiza kuwa, maandamano
↧
Nape Ageuka Mbogo: Amtaka Mbowe Amtangulize Mkewe na Watoto wake wakati wa Maandamano yao ya CHADEMA
↧