MKAZI wa Kijiji cha Karundi, Wilaya ya Nkasi, mkoani Rukwa, Moses Kang'ombe (17), amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 20 baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji na kusababisha mimba.
Hukumu hiyo imetolewa juzi na Mahakama ya Wilaya hiyo baada ya kumtia hatiani katika makosa mawili la ubakaji na kusababisha mbakwaji ambaye ni mwanafunzi wa darasa la saba (jina tunalihifadhi), kupata
↧