Ukweli haufichiki daima labda kuuchelewesha tu! Ndicho kinachomkuta
muigizaji wa kike wa filamu ya ‘Django Unchained’ wa Marekani, Daniele
Watts aliyewapa wakati mgumu polisi wa Los Angeles kwa kuwatuhumu
kumnyanyasa na kumfanyia ubaguzi wa rangi alipokuwa na mpenzi wake Brian
James.
Awali Daniele alisababisha matatizo kwa polisi hao baada ya kuonekana
katika picha akiwa analia
↧