Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishina Msaidizi wa Polisi EMMANUEL G. LUKULA (ACP) akiongea na waandishi wa habari.
*******
Polisi Mkoani Dodoma leo asubuhi ililazimika kuzifunga baadhi ya barabara za mkoa huo ili kukabiliana na waandamanaji wa CHADEMA waliokuwa wamepanga kuvamia Bunge Maalum la katiba wakitaka Lisitishwe.
Kaimu Kamanda wa
↧