Vurugu zimezuka leo asubuhi katika makao makuu ya jeshi la Polisi jijini
Dar es Salaam nchini Tanzania, muda mfupi baada ya Mwenyekiti taifa wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo – Chadema, Freeman Mbowe, kuwasili kwa
ajili ya mahojiano.
Mbowe
aliitwa na polisi kwa ajili ya kutoa maelezo kuhusiana na kauli
aliyoitoa hivi karibuni ambapo kiongozi huyo alinukuliwa akihamasisha
↧