Baadhi ya wapenzi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), wakishangilia baada ya gari lililokuwa limembeba Mwenyekiti
wa chama hicho, Freeman Mbowe, alipowasili leo Makao Makuu wa Jeshi la
Polisi jijini Dar es Salaam, kwa mahojiano.
Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), wakimpa kichapo mwandishi wa
habari wa gazeti la Tanzania Daima, Josephat Isango, nje ya
↧