Askari Polisi wakiwa eneo la tukio kuimarisha ulinzi
Eneo la tukio likiwa limezungushiwa alama na Jeshi la Polisi. Mkuu
wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwangu akizungumza jambo
katika hospitali ya mkoa wa Ruvuma baada ya kuwatembelea majeruhi hao. Kamati ya ulinzi na Usalama wakiwa Hospital ya mkoa wa Ruvuma. Aliye lala kitandani ni WP ambaye amejeruhiwa akiwa amelazwa katika hospital ya Mkoa
↧