Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (katikati) akihutubia katika mkutano wa
hadhara mjini Maneromango jana wakati wa ziara yake wilayani Kisarawe,
Pwani ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo
inayotekelezwa kwa kuata Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho pamoja na
kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi.
Wananchi
wa Kata ya Maneromango
↧