JESHI la polisi nchini limethibitisha kuwa kitu kilichokuwa
kinadaiwa kuwa ni bomu lililorushwa mjini Songea mkoani Ruvum Septemba 16
mwaka huu majira ya saa 1.25 usiku katika eneo la Misufini na kuwajeruhi askari
polisi watatu kati ya wanne waliokuwa doria kuwa ni bomu la kutupwa kwa mkono
lililotengenezwa kienyeji.
Akitoa taarifa ya uchunguzi
wa tukio hilo kwa waandishi wa
↧