Nicki Minaj amealikwa kwenda kuzungumza na wanafunzi wa shule ya
jijini New York baada ya ombi lake la kutembelea shule aliyosomea
kukataliwa wiki iliyopita.
Hivi karibuni rapper huyo alizungumza na uongozi wa shule ya
Fiorello H. LaGuardia High School na kuuomba aitembelee kama na
kuzungumza na wanafunzi lakini uongozi ulimtosa. Kwenye ujumbe wa
Twitter, Nicki aliandika:
“I
↧
Nicki Minaj aalikwa kuzungumza na wanafunzi wa shule nyingine baada ya kukataliwa na ile aliyosoma
↧