Mtikisiko mkubwa wa kisiasa jana umelikumba taifa, baada ya wafuasi wa Chadema kupambana na polisi katika maeneo mbalimbali.
Hali hiyo, ilianza kuonekana mapema jijini Dar es Salaam, wakati
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliwapowasili Makao Makuu ya Jeshi
la Polisi saa tano asubuhi kwa ajili ya kuhojiwa.
Mbowe aliitwa kuhojiwa na viongozi wa jeshi hilo kwa madai ya kutoa
↧