Tamasha la Seremgeti Fiesta 2014 Ladondosha burudani ya Nguvu kwa Wakazi wa...
Ilikuwa buruuudani ya kusambaza upendo wa kweli kwa wakazi wa Tabora ndani ya tamasha la Fiesta Msanii mwingine anaekuja vyema kwenye anga ya muziki wa Bongofleva aitwaye Kadja ambaye anatamba na...
View ArticleKivazi Cha Jini Kabula Aibu Tupu....."Maziwa" Yote Nje!
Mwanadada kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ amewaacha watu midomo wazi baada ya kutinga kivazi kilichomuacha wazi mwili wake. Jini Kabula alitinga kivazi hicho kwenye...
View ArticleTuhuma za Usagaji: Aunt Lulu Ampigia Magoti mama yake
Staa wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ amefunguka kuwa skendo ya kujihusisha ya vitendo vya kisagaji inayomuandama imemsababishia msala mkubwa kwa mama yake na kuamua kumuomba radhi....
View ArticleTabora wamkataa Nuh Mziwanda......Wasema hawezi kuwa mume wa Shilole
Nuh Mziwanda jana alijikuta katika wakati mgumu mjini Tabora baada ya Shilole kuwauliza wakazi wa mkoa huo anakotokea iwapo Nuh Mziwanda anafaa kuwa mume wake. Shilole ambaye ni mchumba wa Nuh...
View ArticleBunge La Katiba lachafuka....Wajumbe washambuliana kwa maneno makali, Sitta...
BUNGE Maalum la Katiba limechafuka wakati wa Majadiliano ya Taarifa za Kamati baada ya Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Kessy kusema Serikali ya Zanzibar inatumia fedha za Tanzania Bara kuendesha...
View ArticleMahakama kuu yatupilia Mbali Maombi ya Pingamizi la kusimamisha Bunge la Katiba
MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam jana imetupilia mbali maombi ya pingamizi la awali la kusimamisha Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma, iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari Said...
View ArticleTrafiki Aliyegongwa na Daladala Afariki Dunia
ASKARI wa usalama barabarani, aliyejulikana kwa jina moja la Riziki, WP 2806 CPL Riziki, aliyegongwa na daladala aina ya DCM wakati akiwa katika harakati za kutimiza majukumu ya kazi eneo la Mbagala...
View ArticleDr. Slaa Ateuliwa tena kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe amewateua Dk. Willbrod Slaa kuwa Katibu Mkuu, John Mnyika kuwa Naibu Katibu Mkuu Bara na Salum Mwalim ambaye anakuwa...
View ArticleMwanamke Mchawi Adondoka Kanisani
Ni kwenye Kanisa la Paradise Internation Ministries lililoko Karakata Ukonga jijini Dar, mwanamke mmoja (pichani) anayedaiwa mchawi alidondoka usiku wa saa saba na kujikuta hawezi kutembea. Tukio hilo...
View ArticleDamu Yamwagika tena Mkoani Geita.....Mvuta Bangi Aua Watu watatu na kumjeruhi...
Matukio ya mauaji ya watu wasio na hatia, yameendelea kuuandama Mkoa wa Geita, kufuatia watu watatu kuuawa kwa kukatwa mapanga na kuchomwa mkuki huku mmoja akijeruhiwa baada ya mtu mmoja anayesadikiwa...
View ArticlePolisi na Wabunge Wamshutumu Mbowe kujifanya Amiri Jeshi Mkuu na kutangaza...
KAULI ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ya kuagiza yafanyike maandamano na migomo nchi nzima bila kikomo, ikiwezekana hata bila ya kibali cha Polisi, imelichefua Jeshi la Polisi. Jeshi hilo...
View ArticleMkuu wa Kituo cha Polisi Anusurika Kuuawa na Wananchi baada ya kufamaniwa...
Mkuu wa kituo cha polisi cha Nyamboge kilichopo katika kata ya Katoma wilayani Geita mkoani Geita amenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kukutwa akitaka kufanya mapenzi na...
View ArticleMabinti Pacha Walioungana kuhitimu kidato cha nne Makate
Hatua ya kwanza ya ndoto ya kuzama katika elimu ya mabinti pacha walioungana kiwiliwili, Consolata na Maria Mwakikuti (18) wa Kijiji cha Ikonda wilayani Makete mkoa mpya wa Njombe, inatarajiwa...
View ArticleWawili Wafa katika AJALI Wakitoka kuzika mwenzao Musoma
Watu wawili wamekufa na wengine watano kujeruhiwa baada ya magari mawili, likiwamo basi dogo la abiria walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori la mafuta. Kwa mujibu wa Kaimu Kamanda wa...
View ArticleBig Brother kutangaza majina matatu ya washiriki wa mwaka huu leo Alhamisi,...
Mashabiki wa shindano Big Brother Africa hawatosubiri hadi siku ya ufunguzi, October 5 kuwafahamu washiriki wa mwaka huu. Katika kuleta mambo mapya, M-Net na Endemol SA watakuwa wakitangaza majina ya...
View ArticleMbio za Mwenge kuzindua Miradi 72 Mkoani Mwanza
Miradi 72 ya maendeleo ya Sh bil. 23 inatarajiwa kuzinduliwa na Mwenge wa Uhuru, utakaokimbizwa kwa siku nane mkoani Mwanza, ambao utapokelewa leo kutoka mkoa wa Simiyu. Hayo yalielezwa jana na...
View ArticlePingamizi la Mwanasheria Mkuu dhidi ya TLS Latupiliwa Mbali
Pingamizi la Mwanasheria Mkuu (AG) dhidi ya ombi la kibali cha kufungua kesi ya kupinga vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea mkoani Dodoma limetupiliwa mbali katika Mahakama Kuu Kanda ya...
View ArticleMaandamano ya CHADEMA Yaliyopangwa Kufanyika Leo yamepigwa Marufuku.....Vyuo...
Jeshi la Polisi nchini limepiga marufuku maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyotarajiwa kuanza kufanyika leo katika maeneo mbalimbali nchini. Jeshi hilo limeonya kuwa...
View ArticleMtuhumiwa Kesi ya Ugaidi Awalalamikia Polisi kwa Kumminya Sehemu zake za Siri...
Mtuhumiwa katika kesi ya ugaidi, Abdallah Maginga, ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, kumruhusu kutohudhuria siku za kesi na abaki magereza, kutokana na maumivu makali anayodai anayapata...
View ArticleMwanafunzi wa Kidato cha tano Ajinyonga akiwa Hospitalini.....Chanzo cha...
Katika hali isiyotarajiwa, mwanafunzi wa Kidato cha Tano katika Shule ya Sekondari ya Wavulana Ihungo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, Ezra Gerald (19), amejinyonga hadi kufa kwa kutumia shuka ya...
View Article