Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Mabinti Pacha Walioungana kuhitimu kidato cha nne Makate

$
0
0
Hatua ya kwanza ya ndoto ya kuzama katika elimu ya mabinti pacha walioungana kiwiliwili, Consolata na Maria Mwakikuti (18) wa Kijiji cha Ikonda wilayani Makete  mkoa mpya wa Njombe, inatarajiwa kutimia Novemba mwaka huu, wakati mabinti hao watakapofanya mtihani wa kuhitimu kidato cha nne.   Itakumbukwa kwamba walipokuwa wakimaliza elimu ya msingi mwaka 2009 kijijini kwao Ikonda, walikuwa

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles