Watu wawili wamekufa na wengine watano kujeruhiwa baada ya magari mawili, likiwamo basi dogo la abiria walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori la mafuta.
Kwa mujibu wa Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Athuman Mwambalaswa alisema kuwa tukio hilo lilihusisha gari aina ya Toyota Coaster lililokuwa linatokea kwenye msiba Musoma mkoani Mara kwenda Dar es Salaam na kugongana
↧