Jeshi la Polisi nchini limepiga marufuku maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyotarajiwa kuanza kufanyika leo katika maeneo mbalimbali nchini.
Jeshi hilo limeonya kuwa maandamano hayo ni batili na ni kinyume cha sheria.
Akizungumza na waandishi wa habari jana makao makuu ya jeshi la Polisi Dar es Salaam, Kamishna wa Polisi wa Operesheni na Mafunzo, Paul
↧